About Anza
Anza ni jukwaa la mtandao ambalo linalenga kutumika kuunganisha watu, kushirikisha fursa, kuchunguza ulimwengu na kutatua masuala makubwa zaidi ya wakati wetu. Tunataka kutoa fursa kwa watu wote kuweza kushirikiana wenzao ambao wanashiriki lengo moja la kufanya dunia iwe bora zaidi kwa kutumia vipaji na uwezo wao!

We are a networking platform that serves as a medium for young people to connect with each other, share opportunities, explore the world and solve the most pressing issues of our time. We want to provide an avenue for young people to stay connected with their peers and have an opportunity to connect with others who share their interest in making the world ever better using their passions!